Wataje(mtaje) rafiki zako wa humu jukwaani

Nampenda sana nameless girl japo urafiki wetu ni wa mashaka imagine tunaweza kaa Hadi miezi bila kutafutana... nameless girl una sehemu Yako ndani ya moyo wangu... Nakupenda sana... Siku uliyokuja Tanga nilikufaidi sana {sio kihivyo mnavyo dhani🤣🤣🤣} nameless girl ni mkarimu na mwenye upendo, aliwahi kunisaidia bila kutegemea malipo yoyote kutoka kwangu... Kwa hapa Jf huyu mtu ni Zaidi ya ndugu... Mwingine ni huyu Iduku mwanangu nitakupigia hivi karibuni maana nilikuwa mafichoni🤣🤣🤣​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom