wataelewa tu,,

Joseverest akija atani tafsiria mie sijaelewa hiyo picha naona viatu vimegeuka geuka tuuu
Mtani hapo anamaanisha kuwa Pale ambapo hutaki Adui yako akufatilie nyendo/hatua zako kwa hiyo unaamua kuvaa viatu hivyo...mbele kunakuwa nyuma na nyuma kunakuwa mbele...Hata ukifatilia utaona kama anakuja kumbe ameshaenda mbele
 
ati anakwenda au anarudi kakata kona eeh
 
Hii ni sign ya anaefanya kinyume na maumbile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…