donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Solve
Game imeisha mzeeNgoja nimalize kucheki gemu la simba kisha nije kuchapa hii ngoma.
Kwa haya matokeo unadhani nina hamu hata ya kupiga hii ishu!? Simba na arsenal zunaweza nitoa roho.Game imeisha mzee
Nikishaonaga Dx dy
Nimesahau miwani yangu kazini kesho nitaisolve

acha visingizio,integrate mkuuEnzi zangu hii kitu laini sana




daah umenikumbusha mbali sana.