Wataalmu wa Kompyuta

NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
Wadau, laptop yangu inazingua balaa! In short, kama unataka kuiwasha, huwa inatoa mlio wa kugonga (beeping noice)... hapo ni lazima niitekenye sana tu ndipo itaweza kuwaka... baada ya kufanya utafiti, nikagundua ni very common problem kwa Dell Laptop...

Not sure kwa brand zingine! So, kama kuna mtu ambae amewahi kukutana na tatizo kama hilo na akaweza ku-solve, please, help me namna gani uli-solve tatizo!

Your support will be highly appreciated!!
 
The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,289
2,000
Wadau, laptop yangu inazingua balaa! In short, kama unataka kuiwasha, huwa inatoa mlio wa kugonga (beeping noice)... hapo ni lazima niitekenye sana tu ndipo itaweza kuwaka... baada ya kufanya utafiti, nikagundua ni very common problem kwa Dell Laptop... not sure kwa brand zingine! So, kama kuna mtu ambae amewahi kukutana na tatizo kama hilo na akaweza ku-solve, please, help me namna gani uli-solve tatizo!

Your support will be highly appreciated!!
Kabla ya computer kuwaka kuna vitu inaangalia kwanza kama vipo na vina-function properly kama fan,HDD,ROM n.k,idadi ya beeping inaeleza kuwa tatizo lipo wapi.hivyo inawezekana pc yako inatatizo mahali,kuna milio mingapi inayaotolewa na ipo kwa mtindo gani yaani kama ni mmoja unalia mda mrefu?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,757
2,000
hizo beep zinaweza tokea kwa computer yoyote na sio dell tu.

unatakiwa uzikumbuke hizo beep maana ni alama za tatizo la computer yako. hapo computer inakuambia tatizo kwa lugha ya kubeep hivyo wewe unataliwa udefine hizo beep kugundua tatizo

pia utatakiwa ujue aina ya bios computer yako inayotumia kwani kila aina ya bios ina beep tofauti.

ukishajua mambo hayo hapo juu nenda site hii kujua tatizo

Computer POST and beep codes
 
Sep 22, 2014
76
70
Kabla ya computer kuwaka kuna vitu inaangalia kwanza kama vipo na vina-function properly kama fan,HDD,ROM n.k,idadi ya beeping inaeleza kuwa tatizo lipo wapi.hivyo inawezekana pc yako inatatizo mahali,kuna milio mingapi inayaotolewa na ipo kwa mtindo gani yaani kama ni mmoja unalia mda mrefu?
naunga mkono hoja..
 
NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
Kabla ya computer kuwaka kuna vitu inaangalia kwanza kama vipo na vina-function properly kama fan,HDD,ROM n.k,idadi ya beeping inaeleza kuwa tatizo lipo wapi.hivyo inawezekana pc yako inatatizo mahali,kuna milio mingapi inayaotolewa na ipo kwa mtindo gani yaani kama ni mmoja unalia mda mrefu?
Hivi majuzi nilitembelea DELL Community page... hapa nikaona wamezungumzia idadi ya beep huku wenyewe wakisisitiza kama ni 7 basi labda tatizo ni X (it's like na wenyewe hawana jibu la moja moja)! Kwa upande wangu, beep hizi zinaendelea... kuna siku nilihesabu nikafika hadi 15 nikaamua ni-stop counting... sikutaka kufahamu what'll happen when it stops counting...nikahofu, isije ina-stop at 20 or elsewhere ikawa ndo stop moja kwa moja..lol!

Kuhusu fan, ipo okay! In the begging nilidhani tatizo ni hard drive, nikaitoa lakini tatizo likaendelea. Anyway, ngoja nipitie hiyo link ya Chief Mkwawa manake naona imeleezea different beeps tofauti na DELL wenyewe!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom