Wataalamu wa Whatsapp sogeeni

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
9,034
12,596
Nipo kwenye group la members wasiopungua 200 nimesave namba za members wa3 cha ajabu msg za members wengine sizioni isipokuwa za hao wa3 tu tatizo nn wakuu?
 
Mtaalam fanya kuweka mambo sawa kwanza Ili wataalamu wajue wanaanzia wapi.

Je?

=>Kifaa chako(simu) iko powered na android au iOS, OS?

=>Version ya iyo app? na ni normal WhatsApp au ndio wale GB & yo?

=>Je kuna maboresho umefanya hivi karibuni kwenye WhatsApp?

Kila la heri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom