Wataalamu wa web Technologies maneno haya yana maana gani?

steveson manumbu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
887
Reaction score
178
maneno haya yananipa tabu sana hivyo ni vema nikipewa ufafanuzi zaidi wa kueleweshwa
HTML: Content – a markup language
CSS: Display – a markup language
JavaScript: Behaviour – a programming language
Web Server Responses
server
SSL (Secure Socket Layers)
URLs
na HTTP
 
Umiza kichwa mkuu google mbona yako wazi
 
maneno haya yananipa tabu sana hivyo ni vema nikipewa ufafanuzi zaidi wa kueleweshwa
HTML: Content – a markup language
CSS: Display – a markup language
JavaScript: Behaviour – a programming language
Web Server Responses
server
SSL (Secure Socket Layers)
URLs
na HTTP

HTML - Hyper Text Markup Language, Ndio language inayotumika for structuring web pages. Ukitaka kuweka paragraph kwenye website yako unaandika <p>Paragraph</p> kwa sababu browser inaelewa HTML language, itajua <p></p> zinamaanisha hiyo ni paragraph. Kwa kifupi HTML is used for structuring the page (DOM Document Object Model)

CSS - Cascading Style Sheets - Hii ni language for controlling how you page looks / Display. Ukitaka kitu chochote kwenye page yako kionekane tofauti, lazima utumie css. So basically css's main job is to control how your page / content display.

Javascript - Hii ni client side scripting language ambayo kazi yake kubwa ni ku control how your webpages behave. Kama unataka ku control kitu gani kitokee uki click link unatumia javascript, Hii mara nyingi inafanya kazi vizuri na css. Kama haujui css hata javascript itakupa shida sana kwa sababa most of the time javascript selectors ni sawa sawa na css selectors.

SSL Secure Socket Layer Kazi yake ni kutengeneza link kati ya web server na browser ambayo inahakikisha data zote unazopitisha kutoka kwa browser kwenda kwenye server ni sahii na salama & vice versa, data kama credit card information ni sensitive data so SSL kazi yake ni kuhakikisha zinakua salama

URL & HTTP - Won't Answer.

My Advice:
I consider people who take absolutely no self-responibility and expect to have all the answers handed to them personally rude, If you googled these words you'd get lots of good answers from various people and your knowledge on these matters would improve a lot. Everything is online be responsible and read.
 
Bwana umejibu vizuri ila ushauri wako hapo chini umekosea. Na do maana kila tunapofikiri mitandao ni suluhisho la maswali yetu tunapata majibu yasiyo na tija.

SSL, kimsingi ni kitu kama gamba gumu linalozuia vilivyomo ndani visionekane kwa nje na visiweze kuvuja kwa urahisi wakati vinasafirishwa, kama tukiweza kuona ni kama bomba lenye gamba gumu.

Web page zote zinazotumia hii SSL huanza na HTTPs na si HTTP.

Sasa fuatilia SSH halafu utaona nini maana ya SSL!
 
maneno haya yananipa tabu sana hivyo ni vema nikipewa ufafanuzi zaidi wa kueleweshwa
HTML: Content &#8211; a markup language
CSS: Display &#8211; a markup language
JavaScript: Behaviour &#8211; a programming language
Web Server Responses
server
SSL (Secure Socket Layers)
URLs
na HTTP

Umeuliza swali la kitaalamu sana.
 
Bwana umejibu vizuri ila ushauri wako hapo chini umekosea. Na do maana kila tunapofikiri mitandao ni suluhisho la maswali yetu tunapata majibu yasiyo na tija.

Yupo sahihi, huwezi kuuliza ukajibiwa na ukaelewa hizo terms zote hapa.

SSL, kimsingi ni kitu kama gamba gumu linalozuia vilivyomo ndani visionekane kwa nje na visiweze kuvuja kwa urahisi wakati vinasafirishwa, kama tukiweza kuona ni kama bomba lenye gamba gumu.

Hapa ndiyo sijakuelewa kabisa

Web page zote zinazotumia hii SSL huanza na HTTPs na si HTTP.

Sasa fuatilia SSH halafu utaona nini maana ya SSL!

Hata hapa pia sijakuelewa
 
uki-google utaelewa vizuri kwani huyo amefungua macho kidogo tu ili uelewe best
Bwana umejibu vizuri ila ushauri wako hapo chini umekosea. Na do maana kila tunapofikiri mitandao ni suluhisho la maswali yetu tunapata majibu yasiyo na tija.

SSL, kimsingi ni kitu kama gamba gumu linalozuia vilivyomo ndani visionekane kwa nje na visiweze kuvuja kwa urahisi wakati vinasafirishwa, kama tukiweza kuona ni kama bomba lenye gamba gumu.

Web page zote zinazotumia hii SSL huanza na HTTPs na si HTTP.

Sasa fuatilia SSH halafu utaona nini maana ya SSL!
 
kumbesio mm tu sasa wengine wanajitia mbwembwe . asante mkuu kwa ufafanuzi
 
Msaada wataalam natumia tecno t718 bt nkdownload games hazchez
 
Back
Top Bottom