Wataalamu wa Web hosting!

Hadoop

Member
Oct 28, 2011
88
15
Natumia Plesk 9.5 Control panel.
Tatizo: niki type http://mysite.com inafungua site yangu vizuri, lakini niki type http://www.mysite.com inafungua ile default page inayokuwa generated automatically.
Nimejaribu kudelete all default pages lakini sijafanikiwa kusolve.
Pia nime enable www prefixing, lakini wapi.
Naomba msaada wenu.
 
Jaribu kutengeneza 301 permanent redirect kwenye cPanel,
Code:
redirect from www.mysite.com To mysite.com
 
Natumia Plesk 9.5 Control panel.
Tatizo: niki type Website Hosting - Mysite.com inafungua site yangu vizuri, lakini niki type Website Hosting - Mysite.com inafungua ile default page inayokuwa generated automatically.
Nimejaribu kudelete all default pages lakini sijafanikiwa kusolve.
Pia nime enable www prefixing, lakini wapi.
Naomba msaada wenu.

Naona tatizo lako ni dogo sana. Ukifungua without www unapata website yako ulio upload lakini with www unapata default webpage wakati actualy umeshafuta hiyo default page.

Possibly unapofungua with www web browser yako inaload from cache

Clear browser cache na utaona zote with or without www will load the same thing

Kama wewe ni web designer najua utakua umenisoma kuhusu browser caching
 
Back
Top Bottom