Hiyo tv ni aina gani kwa maana ya ni flat au CRT aka chogo?Habarini Ndugu wana jf, mimi nina solar watt 100 betri N70 dry cell ambazo nazitumia kwenye tv na kuwasha taa kama 5 tu tatizo linalofanya nijekuomba ushauri kwenu ni kwamba nyakati za usiku siifaidi kabisa hii tv maana umeme unawahi kuisha yaani kwa usiku maximum ni masaa 3 tu
Nb: natumia inverter kwa ajiri ya tv tu na kwenye kisambuzi natumia direct kutoka kwenye betri vivo hivo kwenye bulb
Naombeni ushauri wenu je hapo tatizo ni nini?
Habarini Ndugu wana jf, mimi nina solar watt 100 betri N70 dry cell ambazo nazitumia kwenye tv na kuwasha taa kama 5 tu tatizo linalofanya nijekuomba ushauri kwenu ni kwamba nyakati za usiku siifaidi kabisa hii tv maana umeme unawahi kuisha yaani kwa usiku maximum ni masaa 3 tu
Nb: natumia inverter kwa ajiri ya tv tu na kwenye kisambuzi natumia direct kutoka kwenye betri vivo hivo kwenye bulb
Naombeni ushauri wenu je hapo tatizo ni nini?
maana yangu ni kwamba mchana situmii tv naacha betri ichajiwe na solar then usiku ndo natumia but moto unawahi sana kuishanadhani mwenyewe ushapata jibu kwamba unapowasha TV usiku ndio battery inaisha mapema. inamaanisha kwakuwa usiku sola haifanyi kazi so battery inakuwa overloaded. ongeza battery ndugu hapo N70 ni ndogo kusustain hiyo TV na vitu vingine.
Unapofikiria kutumia umeme wa nishati ya jua ni muhimu kuangalia mahitaji yako kwa ukamilifu. Ufahamu vifaa vyako vinakula umeme wa watts ngapi (jumla) kabla hujafunga solar panels na batteries zinazoendeana na mahitaji yako. Inaelekea mahitaji yako ni makubwa kuliko uwezo wa mtambo ulionao. Chunguza kila kifaa kwa kawaida nyuma au chini kuna maandishi yanayoonyesha wattage inayotumika, halafu rekebisha kwa kuongeza batteries na pengine hata solar panels.maana yangu ni kwamba mchana situmii tv naacha betri ichajiwe na solar then usiku ndo natumia but moto unawahi sana kuisha
Kwakifupi unatumia umeme wa betri kazi ya solar panel nikuli charge betri tv yako inatunia umeme mwingiHabarini Ndugu wana jf, mimi nina solar watt 100 betri N70 dry cell ambazo nazitumia kwenye tv na kuwasha taa kama 5 tu tatizo linalofanya nijekuomba ushauri kwenu ni kwamba nyakati za usiku siifaidi kabisa hii tv maana umeme unawahi kuisha yaani kwa usiku maximum ni masaa 3 tu
Nb: natumia inverter kwa ajiri ya tv tu na kwenye kisambuzi natumia direct kutoka kwenye betri vivo hivo kwenye bulb
Naombeni ushauri wenu je hapo tatizo ni nini?
Kwa faida ya wengi ebu dadavua hapa hizi batteryTafuta batteries za minara ndo utafaidi hiyo kitu kaka npm tuongee.