Wataalamu wa ulinzi naombeni ushauri

[emoji121]
MKUU,

LINDO KAMA HIZO TUPE SISI WAMASAI,

TUNAHAKIKISHA TUNALINDA KWA MBINU ZA KIMORANI NA KILAIBONI!

TUNALINDA TUKIWA NA #Mama_Yeyoo PEMBENI,
AMBAPO HATUTOKI MTU SAA 24,

SISI TUKIONDOKA,
YEYE ANAKUWEPO AKILINDA SIME, MKUKI, NGAO, UPINDE NA MISHALE.

NIPE HIYO KAZI MKUU.
 
Duh! Kumbe unalindwa? Mimi ni mlinzi wa kujitegemea naweza kukulinda muda wote.
 
Najua ktk kipengele chenu kuna shalti yakwamba iktokea kuibiwa kitu bas kampun inalipa bas wape lalamiko lako kampun yawalinzi kuchelewa kufka na sanyingine kutofka kabsa wakipuuzia wanyooshe jiibie mwenyewe wakipa wataacha upuuzi
 
Kama uwezo unao jaribu SGA,KK au G4S hao wana supervisor wa kuwakagua kila siku. Na kwenye mkataba weka kipengele kuwa mlinzi akichelewa unakata hela ya siku nzima
 
w
Hapana hamjaamua tu kuwa serious,kampuni za ulinzi zinawaogopa sana ma Client wao,nyie tumeni email au muende wenyewe ofisini waambieni KUANZIA LEO HATUTAKI ASKARI AINGIE ZAIDI TA SAA KUMI NA MBILI NA NUSU NA ASKARI ASIBADILISHWE OVYO BILA TAARIFA YA MWENYE NYUMBA hawanaga ubavu wa kukataa otherwise lindo life mchukue kampuni nyingine inayoweza kwenda na masharti yenu,in business Always customer is right
 

Haraka sana wahi kutoa taarifa ofisi ya mtaa hapo kwako na jeshi la polisi ili wafanye ukaguzi wa haraka kama hiyo kampuni inatoa huduma sahihi....

Muhimu. Usalama kwanza
 
 
Nahitaji hiyo kazi ya ulinzi binafsi nina vigezo vya kupitia mafunzo ya jeshi pia nina elimu ya Kidato cha sita sayansi,...mawasiliano .....
 
Miss Natafuta habari za masiku tele na kupoteana,Mwenyezi mungu aendelee kukulinda na kukuongoza na kukutilia baraka tele katika kazi zako.

nimeona na mimi kuna haja ya kuchangia uzi wa mpendwa wa roho,sijasoma coment za juu lakini wacha nichangie..

Suala la ulinzi ni utaratibu wa idara maalum na walinzi wao tu,sasa muhimu kwanza wewe muajiri wao ujue hata kwa kuuliza wale wahusika wenyewe au huyo ambae huwa unampigia simu jaribu kumuuliza kwa UTARATIBU TU kama ilivyo kawaida yako na tabia yako tukufu nadhani watakuambia kwamba wao hubadilisha askari wa lindo baada ya muda gani.

kuna wengine wiki,au wiki mbili n.k

huku ninapoishi kuna wachina na kampuni yao ya maji sijui,panalindwa usiku na hawa f.f.u kwa wiki mbili kisha wanakuja wengine,kwa hyo ni kama utaratibu wa huko kazini kwao wanapanganaje,na usipouliza utakuwa hujui kinachoendelea kwa sababu hilo ni la kwao kubadilisha walinzi.

muhimu ni kuwauliza kawaida tu kwa sababu hitajio lako ni kuona mlinzi kila siku na hilo ndo lao,lakini kuhusu kubadili mda gani hilo ni juu yao nadhani hata katika mkataba hukuliona hilo,

lakini usije kulifumbia macho hilo suala la kuchelewa lindoni mpaka saa mbili,waharifu watatumia mwanya huo huo,.

Ahsante,ni wako mpenda abuhafa

Miss Natafuta
 
Tafuta mmsasai anakuwa anaishi kwenye kibanda cha mlinzi mnalipa kama 250k.
 
1.Ukiingia mkataba na kampuni ya ulinzi kimsing huo mkataba unakua kati yako na kampuni sio mlinzi. Kampuni inauhuru wa kumleta mtu yeyote itakaye. Chochote kikitokea au kufanywa na huyo mlinzi inawajibika kampuni. Sasa kama hutaki kubadilishiwa mlinzi tafuta mlinzi binafsi mkubaliane.

2.kama walnzi hawaji-maana yake wamevunja mkataba. Sasa hatua za kuchukua inabidi mzingatia masharti mliyowekeana kwenye mkataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…