MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 345
- 273
unaweza kuniwekea link yake?hiyo ni trojan virus fanya kuscan computer yako
pia unaweza kujaribu kutoa virus kwa kutumia cmd, kuna uzi ulishawekwa huku jukwaani
kuna huu uzi wa kitambo kidogounaweza kuniwekea link yake?
unaweza kuniwekea link yake?
asante sana mkuu nisaidie huo uzi pia nimalizane na hili tatizokuna huu uzi wa kitambo kidogo
Unahitaji ku scan computer kwa COMMAND prompt?
kama ukishindwa kwa njia hii jaribu ku install malwarebytes halafu scan computer yako ikishamaliza fanya ku quarantine infected files
uzi wa hivi karibuni siupati ila naendelea kutafuta
Download karspesky antivirus itaondoa taka taka zote hizoNatumaini mpo salama, nimekuwa nikiona hiki kitu kwenye computer yangu nashindwa namna ya kukiondoa tafadhali mwenye uelewa anisaidie
C:\window\SysWOW64\msiexec.exe
torrent (pirates bay) utaipata crack huku kwenye sites nyingine ni miyeyusho tu zinakua free trialkama unafahamu trusted sites za kupata malwarebyte naomba unipe tafadhali
free trial inatosha kabisa kutoa huyo mdudu, adownload tu kwenye site ya malware bytes.torrent (pirates bay) utaipata crack huku kwenye sites nyingine ni miyeyusho tu zinakua free trial
msiexec.exe. This is Microsoft's Windows Installer program, which processes product installation files in the.MSI format. It normally appears only when invoked by double-clicking on a .MSI file (or having one run automatically as part of an installation process.)