Kumbuka unapoandika article algorithms mpya ya google inatumia Latency Semantic Index(LSI) kwa maana article inatakuwa iguse relevancy subtopics za hiyo topic unayoandika.
Kwenye SEO kitu cha kwanza ni kufanya keyword reseaech, mi huwa natumia google suggests, google keywords planner, lsi graph na google related searches hapa utapata angles nyingi za kuandika topic yako.
Pia wikipedia mule kuna keywords ambazo unaweza tumia.
Baada ya kuchagua keywords inabidi ufanye utafiti ipi keyword ambayo iko na trend kubwa mfano unaandika kuhusu ms office ukakutana na keyword ms office 2016 na ms office 2019, unaweza ukakuta ms office 2019 trend yake inaanza kupanda ili kujua trend hapa utatumia Google Trend.
Ili kupata earning nzuri tumia keyword zenye commercial intent kubwa lakini average searches kuanzia 100 na kuendelea.
Baada ya hapo andika comprehensive article ambayo inagusa vitu ambavyo wengi wanauliza na article iwe informative.
Pia kuna mambo kama backlink lkn unaweza kutumia modifying words mfano BEST, Definitive guide,Latest,updated etc pia kwenye title unaweka hata na miaka au namba.
Kiujumla kuna vingi vya kufanya