Hongera mkuu kwa kuweza kupata ufumbuzi wa iyo error iliyo kuwa inakusumbua.
Naomba niulize kaswali kadogo tu.
Et iyo project inayotengeneza nn aswa n software au n nn?
Hongera mkuu kwa kuweza kupata ufumbuzi wa iyo error iliyo kuwa inakusumbua.
Naomba niulize kaswali kadogo tu.
Et iyo project inayotengeneza nn aswa n software au n nn?
Ni program ya kuchakata excel spreadsheets zenye data nyingi sana amabazo zinachosha kufanya manually, so hii program inawezesha kuongeza tija na ufanisi (productivity and efficiency) katika kazi.