Mkuu una key za pycharm professional unisaidie huwa nazitafuta naishia kutumia community editions ambayo haina features nyingi. Hiyo screen haionekani vizuriError inaonekana hapo chini kwenye Terminal, naisolve nmana gani?
View attachment 1416568
View attachment 1416584
Error inaonekana hapo chini kwenye Terminal, naisolve nmana gani?
View attachment 1416568
#ondoa neno charts halipo kwenye hiyo library weka
from openpyxl.charts import BarChart, Reference
#iwe hivi
from openpyxl.chart import BarChart, Reference
#hapo kwenye reference unatakiwa kudefine hiyo values uliyoiita hapa
chart.add_data(values)
#kwa hiyo reference itakuwa
values = Reference(sheet,
min_row=2,
max_row=sheet.max_row,
min_col=4,
max_col=4)
#unaweza ongezea chart kwenye excel kwa kutumia
ws.add_chart(chart, "weka column unayotaka")
hizo libraries ulizo import zina hizo module ?Error inaonekana hapo chini kwenye Terminal, naisolve nmana gani?
View attachment 1416568
View attachment 1416584
JetBrains PyCharm Professional 2019 1 3 + Crack B4tman} Torrent Download - LimeTorrents.infoMkuu una key za pycharm professional unisaidie huwa nazitafuta naishia kutumia community editions ambayo haina features nyingi. Hiyo screen haionekani vizuri
Shukran sana kiongozi. Ila bado inagoma napata error hii👇👇 (file ni worksheet.txt) hapo juu kwenye attachmentsCode:#ondoa neno charts halipo kwenye hiyo library weka from openpyxl.charts import BarChart, Reference #iwe hivi from openpyxl.chart import BarChart, Reference #hapo kwenye reference unatakiwa kudefine hiyo values uliyoiita hapa chart.add_data(values) #kwa hiyo reference itakuwa values = Reference(sheet, min_row=2, max_row=sheet.max_row, min_col=4, max_col=4) #unaweza ongezea chart kwenye excel kwa kutumia ws.add_chart(chart, "weka column unayotaka")
Additional notes soma hapa
Charts — openpyxl 2.5.15 documentation
Nafikiri nimesolve hiyo snap ya kwanza, maana kwangu inasave fresh na ina draw chart.Shukran sana kiongozi. Ila bado inagoma napata error hii👇👇 (file ni worksheet.txt) hapo juu kwenye attachments
line 315, in cell
coordinate = coordinate.replace('$', '')
AttributeError: 'int' object has no attribute 'replace'
Yes nimeipitia, openpyxl version nayotumia ni 2.1, nilijaribu na v3.0.3 nayo ikanisumbuaNafikiri nimesolve hiyo snap ya kwanza, maana kwangu inasave fresh na ina draw chart.
Nikuulize unatumia version gani kwenye hiyo library, na umepitia link niliyokutumia?
Fanya hivyoSAwa, kiongozi.
Hii ntaicheki baadaeShukran sana kiongozi. Ila bado inagoma napata error hii👇👇 (file ni worksheet.txt) hapo juu kwenye attachments
line 315, in cell
coordinate = coordinate.replace('$', '')
AttributeError: 'int' object has no attribute 'replace'