Kwa shughuli za kawaida kama kusoma, shughuli za kiofisi, movies, music, games ndogondogo itaweza kukitimizia. Ingawa kwa hiyo bei bora utafute hata mtumba wa i3 au i5 kama mdau alivyosema.Habari wana jf
wakuu kuna pc jamaa kaniletea hapa ananiunizia laki 4 pc yenyewe ni
accer E1-510
Processor Intel(R)Pentium (R)CPU N3520@ 2.16GHZ(4cpu) 2.2GHz
Ram 4GB
chief mkwawa na wengine naombeni msaada je hii Pc inaweza kufanya multasking, na Kuplay games video heavy?
ni Quad CoreKama iyo processor ni single core utacheza zuma tu Mkuu na games za miaka ya <2012
Kama iyo processor ni single core utacheza zuma tu Mkuu na games za miaka ya QUOTE]
Kaa nayo mbali mkuu, hizo cpu zinazoanziwa na N ni vimeo sana, even core 2 duo za mwaka 2009 zina nguvu zaidi.Habari wana jf
wakuu kuna pc jamaa kaniletea hapa ananiunizia laki 4 pc yenyewe ni
accer E1-510
Processor Intel(R)Pentium (R)CPU N3520@ 2.16GHZ(4cpu) 2.2GHz
Ram 4GB
processor yake ni Quad Core
chief mkwawa na wengine naombeni msaada je hii Pc inaweza kufanya multasking, na Kuplay games video heavy?
Daaah shainunua mkuu coz kuna Games inaitwa Call of duty blacks ops III nimeliweka na likacheza vizuri bila kustack, na ina peform vizuri sana application zinafunguka faster kama photoshop,bluestack,premiere, after effect n.kKaa nayo mbali mkuu, hizo cpu zinazoanziwa na N ni vimeo sana, even core 2 duo za mwaka 2009 zina nguvu zaidi.
Hizo ni cpu zinazokula umeme kidogo sana zimetengenezwa kwa matumizi mepesi na ukaaji chaji sana.
Unachezea na graphic settings low au?Daaah shainunua mkuu coz kuna Games inaitwa Call of duty blacks ops III nimeliweka na likacheza vizuri bila kustack, na ina peform vizuri sana application zinafunguka faster kama photoshop,bluestack,premiere, after effect n.k
ndioooUnachezea na graphic settings low au? View attachment 1097980
Anhaa unatumiaga tovuti ipi kuchukua games setup au unatumiwaga?ndiooo
.comhttp://oceanofgames.com/Anhaa unatumiaga tovuti ipi kuchukua games setup au unatumiwaga?
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Hii ndiyo naitumia hamna nyengine unayoijua? Manake kuna games hazipo hapo
https://kat.sx/ tumia hiiiHii ndiyo naitumia hamna nyengine unayoijua? Manake kuna games hazipo hapo
Miss reading, au ka edit iyo content yakeWaswahili bwanaaaa. Yani jamaa anakuambia PC ni Quad core ww unasema Single core. Au ndo unajua icho tuu
Chief nisaidie hapa asaiviKaa nayo mbali mkuu, hizo cpu zinazoanziwa na N ni vimeo sana, even core 2 duo za mwaka 2009 zina nguvu zaidi.
Hizo ni cpu zinazokula umeme kidogo sana zimetengenezwa kwa matumizi mepesi na ukaaji chaji sana.
Kwa matumizi gani na bei kiasi gani? Ni mpya ama ni used?Chief nisaidie hapa asaivi
Nimenunua laptop
Core i 5 5200U 2.2 GHz