Wataalamu wa OS za Linux

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
4,459
Reaction score
6,030
Wakuu, baada ya kuhama kutoka OS za Windows nimeamua kujikita kwenye OS za Linux.

Baada ya kupitia machapisho mbali mbali na kufuatilia tutorials mbali mbali za video niliona nijikite kwenye Ubuntu, lakini nikagundua Ubuntu inahitaji muda hili ujue kuitumia vizuri.
Nikaisacha nika-install Mint, hii siyo ngumu maana kiasi fulani Interface ni kama ya windows japo bado kuna changamoto ya kuwa na uchache wa program.

Mkuu, kama wewe ni mdau wa OS za Linux ni changamoto gani unazokutananazo na ni OS gani unayoitumia, tofauti na hizi mbili.

Karibu tupeane uzoefu.
 
Sijaitumia mda mrefu, ila nnachojua ni open sources OS, huna haja ya ku crack programs, nyingi zipo free!!! ngoja wataalam watakuja hapa
 
Mimi natumia dual booting, Windows na Kali Linux, changamoto ninayoipata kwenye Kali Linux ni sijapata download manager ya uhakika kama ninavyoenjoy kwenye windows, na huwa natumia windows tu ninapokuwa nadownload files lakini karibia kazi zangu zote za development huwa nazimalizia kwenye Kali Linux
 
Mkuu, Kali Linux hiko poa? Ni kweli hata mimi sijapata IDM yake, lakini kuna plugins za browsers.
 
Mi nilikuwa natumia ubuntu kuna downloader moja inaitwa xdman hii ina feature nyingi kama za IDM, changamoto kwenye youtube iko manure sana, yaani unakopi link halafu unapest, ila kama wewe ni developer unaweza unaweza ukaimodify kwa sababu ni open source.
 
tumia combination ya downthemall na flash video downloader. zote ni plugins za firefox
 
tumia combination ya downthemall na flash video downloader. zote ni plugins za firefox
Chief natumia Ubuntu 15 LTS 64 bits hizo plugins bomba sana. Download them all Safi. Pia kwa kutumia terminal nimeinstall K-Get Downloader. Uzuri wa Linux kuna Apps kibao mfano Transmission, QBittorrent, Deluge hizi kwa ajili ya torrents. Kisha Linux zina Graphics bomba, hazisumbui kwenye modems tofauti tofauti na speed ya Internet ni kali sio sawa na Windows OS.
 
Mimi natumia Linux mint 17 haina shida ila nilikuwa changamoto kwenye setup ya modem.
 
almost 98% ya matumizi yangu ya pc ni windows, graphics unamaanisha user interface? yeah zipo distro nyingi za linux zenye muonekano mzuri ila graphics kwa maana ya gpu still windows na direct x ndio mpango mzima.

mimi napenda kuifungia firefox ifanye kazi yenyewe kama Operating system ijitegemee. naiekea download manager, video downloader, user agent, na mambo mengine.
 
Hii nimeijaribu lakini haijawahi kuniletea matokeo mazuri kwa kweli
 
Safi hebu nieleweshe unaitumiaje Firefox kama OS?

Sent from my TECNO F6 using JamiiForums mobile app
 
Safi hebu nieleweshe unaitumiaje Firefox kama OS?

Sent from my TECNO F6 using JamiiForums mobile app
Hii inafanyaje kazi Chief?
Safi hebu nieleweshe unaitumiaje Firefox kama OS?

Sent from my TECNO F6 using JamiiForums mobile app

namaanisha naifungia inakuwa haina mahusiano na windows/ubutu au os ambayo nimeieka.

then unatumia zile plugins kuifanya ijitegemee vitu kama download manager nilizotaja hapo juu, mods za youtube, kama unataka apps ipo simulator ya firefox os ya simu na pia ipo runtime ya android ambayo wameiport toka chrome,

uzuri wa kuifunga hivyo ni kwamba ukitumia setting moja ya firefox basi plugins zote nazo zitatumia hio setting. mfano
-nikieka proxy kwenye firefox plugin zangu husika nazo zinapata proxy automatic tofauti ningekuwa na idm ingebidi nieke proxy kotekote
-website ni ya simu haikubali kurun kwenye pc (freebasic ya tigo na airtel) utatumia user agent ili firefox ionekane kama simu ila ukidownload kitu idm itadakwa sababu itaonekana sio simu ila kama firefox inajitegemea haiwezi kudakwa sababu na plugins zinachukua user agent ile ile ya firefox.
 
almost 98% ya matumizi yangu ya pc ni windows
Chief-Mkwawa, unadhani kwanini OS za Linux hazina watumiaji wengi ukilinganisha na Windows? Je, ni nyuma kuzitumia, bado hazijajitoshereza ukilinganisha na Windows, au security yake ni ndogo?
 
If u are new to Linux and looking for appropriate OS better use Ubuntu. For me the best OS is Debian its stable and that's because I ran a small server. In short, Debian is more for a server and Ubuntu fits a desktop more.
 
linix ni open source naipenda Bcause haina system crash errors nying ka windows but changamoto kubwa ni accessability ya software nying huto pata kama unavopata kwenye windows pia linux zina nboa pale znapo break contract na big software developers mf.Ubuntu kasha zuia Adobe Acrobat reader kurun kwenye system yako so kwa ce tulozoea adobe reader hatu ridhik ijapokuwa wana software zake za ku fungua PDF co best ka adobe af Software zao jawa ztolei update ya mara kwa mara ka ka windows kuna changa moto nying sana asee ad saiv nmerud kwenue windows though nlisha tumia linux nying sana na best ya kwanza ni arch linux ikfatiwa na Ubuntu then mint nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…