Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,328
- 2,924
Na hz behind the seen mbona kama zinatoa ladha ya movie? Hv ukiangalia movie na kuimaliza kisha ukatazama zile behind seen hv utarudia tena kucheck hy movie?ni washiriki na wanalipwa kama kawaida kwa habari zaidi nenda youtube utafute behind the scene za movie ulizotazama ndo utapata ukweli kilichofanyika na kilichotumia utaalamu wa kompyuta
WANAKUONYESHA SEHEMU ZILIZOWAPA SHIDA KUIGIZA TUNa hz behind the seen mbona kama zinatoa ladha ya movie? Hv ukiangalia movie na kuimaliza kisha ukatazama zile behind seen hv utarudia tena kucheck hy movie?
Mara nyingi huwa wana 1.duplicate(kutoa copy)ya watu wachache na wengine wanawaongezea kama holywood set ya wandaaji wa movi huwa wengi pia wanaweza ku act hizo part.
2. Pia ni wakali wa kutumia CGI softwares na zile screens za editing kama blue,green,yellow screens wanaweza ongezea watu wachache kuwa wengi.
3.kuongezea midoli kwenye set ya movi na ku edit wapiganaji pamoja na ile midoli.
4. Kuingizia ka giza flani kwenye baadhi ya movie set kuongezea watu inakuwa rahisi na pia kurudia rudia picha hizo kwa wingi na ku edit pamoja.
Ila vyote kutengeneza sinema sio process ndogo ili kupata picha halisi ya director anayotaka na kuhahakikisha itawagusa waangaliaji inachukua mda sana kuhahakikisha kila frame ya movie inaenda vizuri, mfano matrix part 2 walitengeneza barabara nzima na kununua magari zaidi ya 200 ku shoot kipande cha dakika 5
Angalia evolution ya screens inategemea na nini unataka ku reflectHakuna Yellow screen
Bongo hapa wiki tu.film IPO sokoni.ndo maana uwa siwez kuangalia movie zetu.Mara nyingi huwa wana 1.duplicate(kutoa copy)ya watu wachache na wengine wanawaongezea kama holywood set ya wandaaji wa movi huwa wengi pia wanaweza ku act hizo part.
2. Pia ni wakali wa kutumia CGI softwares na zile screens za editing kama blue,green,yellow screens wanaweza ongezea watu wachache kuwa wengi.
3.kuongezea midoli kwenye set ya movi na ku edit wapiganaji pamoja na ile midoli.
4. Kuingizia ka giza flani kwenye baadhi ya movie set kuongezea watu inakuwa rahisi na pia kurudia rudia picha hizo kwa wingi na ku edit pamoja.
Ila vyote kutengeneza sinema sio process ndogo ili kupata picha halisi ya director anayotaka na kuhahakikisha itawagusa waangaliaji inachukua mda sana kuhahakikisha kila frame ya movie inaenda vizuri, mfano matrix part 2 walitengeneza barabara nzima na kununua magari zaidi ya 200 ku shoot kipande cha dakika 5
Movie ikianza unajua kabsa inapoishishia sina mda nazoBongo hapa wiki tu.film IPO sokoni.ndo maana uwa siwez kuangalia movie zetu.