Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,333
- 2,246
Plus u-tube tutorialsMuwaambie vijana wasitoe pesa kujifunza hizi course maana google through coursea wanafundisha bure na certificate juu
Nakazia hapo kwenye bundle kubwa na speed,,la si hivyo atawalaani Googlenashauri uwe na bando kubwa la speed nzuri unaposhusha sdk na tools nyinginezo
Mkuu hapo ndipo nataka niwakwepe kama inawezekana,wamenipiga sana, nkataka kama inawezekana nidownload pengine, let's say nichukie from browser then nii configure mwenyewe, sijui inawezekana.nashauri uwe na bando kubwa la speed nzuri unaposhusha sdk na tools nyinginezo
Mkuu juzi hapa bundle la kama 15 hivi lilikata na sikufanikiwa chochote, ndo maana natafuta kama naweza pata ni downloadie pembeni then nika i configure mwenyewe.Nakazia hapo kwenye bundle kubwa na speed,,la si hivyo atawalaani Google
Nashukuru sana mkuu.ii. Road maps za kujifunza Mobile App Development zipo nyingi.
Umesema unataka ujifunze kutengeneza Apps kwa Flutter. Basi anza kujifunza language ya dart then uingie kwenye Flutter.
Ila hapo ulipo upo kwenye njia sahihi sana maana ukianza na web development.. ukapata fundamentals za designing kwa css basi itakuwa rahisi kutengeneza UI's kwa Flutter.
Usisahau kujifunza kudesign apps na web kwa Figma itakujenga kwenye kutengeneza apps zenye mionekano mizuri.
Pia endelea kuchapa javascript mpaka uwe comfortable nayo then ukihamia kwenye dart, itakuwa rahisi sana kujifunza mana programming languages zote zinafanana concept.
Kwa ufupi, Upo kwenye njia sahihi.. Keep going
zile tools zinatoka kwa repos zao zilizo github, wakati yanashuka wanaonesha kabisa na links zao, kuyashusha manually toka kwa browser naona ni yale yale tuMkuu hapo ndipo nataka niwakwepe kama inawezekana,wamenipiga sana, nkataka kama inawezekana nidownload pengine, let's say nichukie from browser then nii configure mwenyewe, sijui inawezekana.
Mkuu hii njia labda uwe na unlimited data plan tena yenye kasi ya kimbunga, imenitesa sana na kuishia kuharibu pesa bure, hivi siwezi pata alternative labda nidownload hizo images let's say android 13,12 na 10 only na file zingine pembeni separately.Android sdk una download pale pale kwenye android studio. Pamoja na emulator yake
View attachment 2733522
View attachment 2733524
Mkuu kwa mfano nikifanikiwa kuyashusha moja moja kwa browser, yatakubali kuingia hapo kweli.zile tools zinatoka kwa repos zao zilizo github, wakati yanashuka wanaonesha kabisa na links zao, kuyashusha manually toka kwa browser naona ni yale yale tu
ukubwa wa bando na speed hasa kwa siku chache za mwanzo, siku za mbele ni MBs kadhaa kwa ajili ya gradle building
yanakubali, issue sikumbuki links zake, nakumbuka tu yana dl.blah blahMkuu kwa mfano nikifanikiwa kuyashusha moja moja kwa browser, yatakubali kuingia hapo kweli.
Na vipi nipitie wapi kufanikisha hilo.
mkazo uwekewe hapabando kubwa
hatari sana , umeunga lako lile la 10GB la ngamamkazo uwekewe hapa
au ndo maana bongo hamna game dev naskia tools zake zinahitaji limitless bandohatari sana , umeunga lako lile la 10GB la ngama
chap unasikia meseji inaingia kwa kelele, umetumia 75%.....
hivi siwezi pata alternative labda nidownload hizo images
Yes nikweli mkuu..nilochependa google kabla ya kumaliza koz lazima utengeneze app mbili za kueleweka hiyo ita add up kwenye career yako kama web au app developerPlus u-tube tutorials