passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,935
Ndio mkuu.Unamaanisha karasha / crusher
Mkuu kama ni karasha /crusher pale Shy town yanatengenezwa mengi tu japo bei zake sifahamu
hivi ukiwa na vitu gani kwenye uchimbaji madini unakuwa na uhakika wa kupata mafanikio?7m kwa yale local.
Unakaribia kupigwa! Kwenye madini Kuna watu waliwekeza billion 5 zote "zikachumila".
Biashara ya madini na uchimbaji imetawaliwa na ushirikina, kutapeluwa na hata kupotezwa ukizingua au ukibania.
Bora fungua hardware
hivi ukiwa na vitu gani kwenye uchimbaji madini unakuwa na uhakika wa kupata mafanikio?
Mkuu hilo la kwanza juu naomba kujua capacity yake,bei na linakoweza patikana kama hutojaliMkuu, Kama ni karasha/crusher yapo kila kona na kila size. Kimsingi Karasha ni local BallMill.
View attachment 2884857View attachment 2884860
Mkuu hilo la kwanza juu naomba kujua capacity yake,bei na linakoweza patikana kama hutojali