LIPIA TANGAZO!Habari za muda huu wana jf naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza kuwekeza kwa kuanzia kununua vipande 100 kila kipande ni 200 na ukiwa na hivyo vipande kutoka kwa hao jamaa ni sawa na kuwa na hisa katika makampuni matano kama CRDB,NMB,PAL NICOL
Kwa wataalamu tupeni ufafanuzi tujue zaidi kama kuna magawio pia
+1 (800) 242-8478Habari za muda huu wana jf naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza kuwekeza kwa kuanzia kununua vipande 100 kila kipande ni 200 na ukiwa na hivyo vipande kutoka kwa hao jamaa ni sawa na kuwa na hisa katika makampuni matano kama CRDB,NMB,PAL NICOL
Kwa wataalamu tupeni ufafanuzi tujue zaidi kama kuna magawio pia
Endelea kufafanua zinavyofanana!Habari za muda huu wana jf naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza kuwekeza kwa kuanzia kununua vipande 100 kila kipande ni 200 na ukiwa na hivyo vipande kutoka kwa hao jamaa ni sawa na kuwa na hisa katika makampuni matano kama CRDB,NMB,PAL NICOL
Kwa wataalamu tupeni ufafanuzi tujue zaidi kama kuna magawio pia
Samahani mkuu unanunua jeKifupi hii ETF ni 🔥🔥🔥 wewe nunua vipande vya kutosha …….Yajayo yatakufurahisha
Kwa app ya dseSamahani mkuu unanunua je
Kwenye App ya dse click kitufe kinaitwa IPO then nunua kiwango unachotaka then utapata control namba lipiaKwa app ya dse
Hivi unaelewa vizuri mambo ya hisa?LIPIA TANGAZO!
Kuna IPO nyingine ya INUKA DOZEN INDEX FUND. Wenye uelewa na hii mtujuze tujilipueHivi unaelewa vizuri mambo ya hisa?
hiyo inawekeza kwenye kampuni 12 DSE lakini itakuwa Open - Ended fund kama UTT. Tofauti ya hiyo na VIS -ETF ni kwamba ETF itaorodheshwa DSE na kutakuwa na gawio while Inuka index fund itakuwa na ukuaji wa vipande kutokana na hizo hisa 12 zitakavokuwa zina - performKuna IPO nyingine ya INUKA DOZEN INDEX FUND. Wenye uelewa na hii mtujuze tujilipue
Ooooh asante sana mkuu, kwa hiyo ipi ni bora kati yake na UTThiyo inawekeza kwenye kampuni 12 DSE lakini itakuwa Open - Ended fund kama UTT. Tofauti ya hiyo na VIS -ETF ni kwamba ETF itaorodheshwa DSE na kutakuwa na gawio while Inuka index fund itakuwa na ukuaji wa vipande kutokana na hizo hisa 12 zitakavokuwa zina - perform
mkuu mbona Ipo iko empty , afu sioni popote izi etfKwenye App ya dse click kitufe kinaitwa IPO then nunua kiwango unachotaka then utapata control namba lipia
Inategemeana na uwezo wako wa kutake risky. Kote kuzuri hasa kwenye hii ETF ambayo ipo kwenye IPOOoooh asante sana mkuu, kwa hiyo ipi ni bora kati yake na UTT