Wataalamu wa Magari mnahitajika

Wataalamu wa Magari mnahitajika

omoghaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
293
Reaction score
167
Ninahitaji kununua gari dogo LA kutembelea.Naishi Maeneo ya Bonyokwa Dar es salaam,ambapo kuna milima milima mingi.Binafsi nyumba yangu IPO kwenye milima ambapo nahofia gari isiyo na nguvu huenda ikashindwa kupanda.
Naomba wenye nagari mnisaidie Aina nzuri ya gari.Binafsi napendelea gari yenye 4 wheel, Lakini sijui changamoto zake. Naomba ushauri wenu.Gari sipendi izidi CC 1500 maana uwezo wa kuihudumia hasa mafuta ni mdogo. Naombeni ushauri wenu hasa kwenye magari ya 4 wheel drive au aina ya gari yenye kuhimili mazingira ninayoishi.
 
Sijawahi kuona gari ya 4wheel yenye CC pungufu ya 1500 labda terios kid... Na kama zipo basi ni chache sana... BTW mpaka gari ishindwe kupanda mlima basi hapo ujue huo mlima umesimama dede
 
DAR ES SALAAM + Clearing$1,710
Mitsubish GDI
CC-1800
1564746834179.png

1564750905932.png

cc--1490
MakeSubaru
ModelImpreza
Car typeStation Wagon
Year2010
Doors5
Seats5
Mileage49000
Engine size (cc)1490
FuelPetrol
ColorBlack
SellerOwner
Warranty:Yes
New:Yes
 
Toyota Cami - 1350cc ila sijawahi kuona yenye 4WD.
 
Sijawahi kuona gari ya 4wheel yenye CC pungufu ya 1500 labda terios kid... Na kama zipo basi ni chache sana... BTW mpaka gari ishindwe kupanda mlima basi hapo ujue huo mlima umesimama dede
Zipo Mkuu.
Nimejaribu kutembelea link zenye kuuza magari kama be-forward,nimezikuta IST za CC 1490 zipo za 4 wheel.
 
Ninahitaji kununua gari dogo LA kutembelea.Naishi Maeneo ya Bonyokwa Dar es salaam,ambapo kuna milima milima mingi.Binafsi nyumba yangu IPO kwenye milima ambapo nahofia gari isiyo na nguvu huenda ikashindwa kupanda.
Naomba wenye nagari mnisaidie Aina nzuri ya gari.Binafsi napendelea gari yenye 4 wheel, Lakini sijui changamoto zake. Naomba ushauri wenu.Gari sipendi izidi CC 1500 maana uwezo wa kuihudumia hasa mafuta ni mdogo. Naombeni ushauri wenu hasa kwenye magari ya 4 wheel drive au aina ya gari yenye kuhimili mazingira ninayoishi.
Jaribu Suzuki Jimny kama mfuko unaruhusu au Mitsubishi Pajero Jr au Mini
 
Toyota Cami - 1350cc ila sijawahi kuona yenye 4WD.
Toyota Cami sina uhakika nayo lakini Vitz za CC 1290 kuna baadhi zina 4 wheel.Jaribu kugoogle be forward au mtandao wowote wa kuuza Magari.
 
Sijawahi kuona gari ya 4wheel yenye CC pungufu ya 1500 labda terios kid... Na kama zipo basi ni chache sana... BTW mpaka gari ishindwe kupanda mlima basi hapo ujue huo mlima umesimama dede
Escudo zile za 1994 zina bonge la fourwhile (4L na 4H).....
1490cc
 
Cc chini ya 1500 4WD!! Nakushauri mzee nunua trekta fergi, wewe na wife mnakaa mbele, kwenye bodi watajibuludisha wanao na majirani.
Screenshot_20190802-234746_Google.jpg
 
Cc 1490 ndo 1500
Ungesema suzuki carry cc700 ina 4wd
Soma vizuri maelekezo yangu.Nimesema isizidi CC 1500.Yaani kwa lugha nyingine nahitaji gari yoyote yenye kati ya CC 1 hadi 1500. Ila iwe 4 wheel.
 
Mkuu nakushauri uchukue toyota voltz ina cc 1790 pia iko juu kidogo itakufaa sana kwa barabara za huko bunyokwa
 
Back
Top Bottom