Wataalamu wa madini hii ni aina gani ya jiwe?!

Wataalamu wa madini hii ni aina gani ya jiwe?!

magustone-yanatumika kutengenezea nini boss?!
16049171941_5f6f2ab137_n.jpg
 
Hayo Mawe hayana thamani yakiwa vipande vidogo hivyo ukienda Mererani yapo kila sehemu yametapakaa. Kazi yake kubwa ni kuchongea sanamu na lazima yawe makubwa sana yanaujinga wa kumomonyoka so ni mawe yasiyo na thamani japo kwa macho huwa yanapendeza sana kama gold vile au Shaba safi. Usiumize kichwa chako

mererani wanayaitaje boss?!
 
Mkuu upo mkoa gani...?? kwa jinsi hali ilivyo...nataka nianze kukaa karibu na migod ya madin ili nipate angalau uwezo wa kuyatambua....Tangia nimezaliwa madin ninayo yajua ni madini ya chuma..na shaba...leoo hii hata nikiona almasi au dhahabu..au Tanzanite yametupwa...siwez yaokota caz siyajui
 
Hizo zinaitwa krista sijui kwa kidhungu zinaandikwaje?
Hizo huwa zinaonyesha dalili nzuri ukikutana nazo!yaani unakaribia korongo lenye mawe ya tanzanite.kuna hayo na mengine yana rangi ya maji yaani crystal clear
 
Hizo zinaitwa krista sijui kwa kidhungu zinaandikwaje?
Hizo huwa zinaonyesha dalili nzuri ukikutana nazo!yaani unakaribia korongo lenye mawe ya tanzanite.kuna hayo na mengine yana rangi ya maji yaani crystal clear

zina thamani yoyote???!
 
watu wengi wanabahatisha bado hakuna mwenye jibu la uhakika.

hii ni changamoto kubwa sana hususani kwenye mifumo yetu ya elimu (pamoja na mimi) kama vitu vinaparikana nyumbani na bado hatuvijui ni shida kubwa.

lakini pia nashukuru kwa kila anayeasema lolote yawezekana kuna aliyesahihi

ila aliyesema Magustone ametisha zaidi ila nashukuru wakuu nazidi kusoma majibu yenu wakuu
 
hayo madini yanaitwa Quartz!
kwa kawaida huwa yanatengeza shape ya 'diamond' na linapovunjika linatengeneza ncha kali (conchoidal fracture), wakati wa Enzi za mawe yalitumika kama kisu, hayo yenye rangi hiyo ( transparent to brown -grey) yanakuwa bado hayajafikia kuitwa gemstone, kwenye environment hiyo hiyo ulipo yapata hayo madin ukipata lenye rangi ya purple au pink apo unakuwa umepiga noti kwakupata gemstone ya 'amethst' au 'Rose'.
ila ukiya pata kwenye quantity kubwa ( several tonnes ) still unaweza kupiga noti
 
Back
Top Bottom