Kama officini nakushauri nunua mack buk pro inch 13 ya 2012/13 itakufaa Air siyo nzur sana kwa matumiz ya offixin
Nawashukuru wote kwa ushauri wenu mzuri nitaufanyia kazi, itabidi nitafute hiyo, kwa Dar naweza kupata maduka gani na kama kuna mtu anajua bei yake ya hiyo MacB Pro.
Umeniwahi..!! ✌️
last time i checked ilikua ni 2.8mil pale kariakoo.
ukiweza pita mlimani city pale wana duka apple au quality centre pia.
You wont be disappointed.
wadau mshamkimbiza mteja.....chezea m 2.5 sikia kiongozi ukiweza cheza na hizi forums za masoko unaweza pata hadi mill 1.2 si unajua mle mliman city unalipia hadi A.COk Thanks
atakua amekusoma mtoa mada. Me, i'm not a big fan of Mac,
wadau mshamkimbiza mteja.....chezea m 2.5 sikia kiongozi ukiweza cheza na hizi forums za masoko unaweza pata hadi mill 1.2 si unajua mle mliman city unalipia hadi A.C