achengula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 369
- 62
Nahitaji kununua Laptop nzuri, mtu mmoja kanipa ushauri kwamba MacBook Air ni nzuri zaidi naomba ushauri kwa mwenye ufahamu wa laptop au ambaye ameshatumia MacBook Air anaweza kunisaidia kama nikanunue au vipi? Na specification zake ziweje kwa MacBook Nzuri. Msaada tafadhali.