Wataalamu wa MacBook Air: Ushauri nataka kununua

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
377
225
Nahitaji kununua Laptop nzuri, mtu mmoja kanipa ushauri kwamba MacBook Air ni nzuri zaidi naomba ushauri kwa mwenye ufahamu wa laptop au ambaye ameshatumia MacBook Air anaweza kunisaidia kama nikanunue au vipi? Na specification zake ziweje kwa MacBook Nzuri. Msaada tafadhali.
 

Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780
2,000
Answer me these ntakupa good advice.
What do you intend to use the pc for mainly?
Kuna maximum amount umepanga kuspend? How much?
Finally muda mwingi upo mobile au stationary so the size of the laptop doesn't matter. Nadhan for a good laptop it must properly fit you in these areas.
 

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
377
225
Thanks mkuu, ni ya matumizi tu ofisini ya kawaida ila tu nataka kitu chenye ubora, size inamata kwa vile niko mobile kiasi.
 

Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780
2,000
Yeah, kama walivyosema wadau go for MacB. Pro *15inches not 13 or 11. Display kubwa and enables you to work easier. Pia hii ina i7 processor and nVIDIA graphics card which is better than the intel HD cards zilizopo kwenye MacB. air i.e if your budget is flexible.
 

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
377
225
Nawashukuru wote kwa ushauri wenu mzuri nitaufanyia kazi, itabidi nitafute hiyo, kwa Dar naweza kupata maduka gani na kama kuna mtu anajua bei yake ya hiyo MacB Pro.
 

Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780
2,000
Nawashukuru wote kwa ushauri wenu mzuri nitaufanyia kazi, itabidi nitafute hiyo, kwa Dar naweza kupata maduka gani na kama kuna mtu anajua bei yake ya hiyo MacB Pro.

last time i checked ilikua ni 2.8mil pale kariakoo.
 

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
377
225
wadau mshamkimbiza mteja.....chezea m 2.5 sikia kiongozi ukiweza cheza na hizi forums za masoko unaweza pata hadi mill 1.2 si unajua mle mliman city unalipia hadi A.C


Hahahahaaaaaaa! cmoney. Hata mimi najaribu kupima maana 2.8 is close to 3 M ambayo naweza kupata laptop mbili nzuri kabisa, I will see what to do.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom