Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Natumia simu aina ya Tecno P3 android version ya 2.5.2
Nina maswali kadhaa kuhusu kuroot simu hasa hii
Je, nifaida gani nitazipata nikifanya hivyo?
Na Je, ni hasara gani naweza kumbana nazo endapo nitai root? tatizo lake ina RAM ndogo