Wataalamu wa KILIMO 1804 kuajiriwa

Wataalamu wa KILIMO 1804 kuajiriwa

Nyamajiva

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
210
Reaction score
23
Wataalamu wa kilimo 1,800
kuajiriwa JIBU LA SWALI LA MBUNGE BUKOBA
VIJIJINI na Mwandishi wetu, Dodoma SERIKALI imesema wataalamu wa kilimo
1,804 wanatarajiwa kuajiriwa na katika mwaka
huu wa fedha. Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika,
Adam Malima, alisema bungeni jana kuwa
serikali inatarajia kutoa kibali cha kuajiri idadi
hiyo ya wataalamu wa kilimo na kwamba kibali
kikishatolewa utaratibu wa ajira utaanza. Alitoa wito kwa wahitimu wa vyuo vya kilimo
kuwa na subira wakati utaratibu wa ajira
ukiandaliwa. Alisema Septemba mwaka 2011, wizara ilipata
kibali kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma kuajiri wataalamu wa
kilimo wapatao 4,499 na kwamba wahitimu hao
walipangiwa kazi katika wizara, sekretarieti za
mikoa na mamlaka za serikali za mitaa. “Kufuatia kibali hicho wahitimu kutoka Chuo
cha Kilimo Maruku na vyuo vingine vyote vya
kilimo ikiwa ni pamoja na vyuo vya taasisi
zisizo za serikali waliajiriwa. Alisema kwa mwaka 2012/13, serikali haikutoa
kibali cha ajira mpya kwa wataalamu wa kad
 
Haya tunasubiri hizo nafasi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wahitim wa degree ya wildlife msiwe na wasiwasi nafasi zenu za medical representative still zipo wazi mnachotakiwa ni mazoezi ya kuvaa tai
 
Hivi hawa wataalam wa kilimo na wataalam wa mifugo wanatofautiana vipi kiutendaji?😕:thumbup:😕
 
Back
Top Bottom