Wataalamu wa IT walioandaliwa kuchakachua matokeo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalamu wa IT walioandaliwa kuchakachua matokeo.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Manyema, Oct 7, 2010.

 1. M

  Manyema JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  gazeti la mwanahalisi la jana liliandika kuwa miraji kikwete amefungua ofisi ya CCM isiyo rasmi mtaa wa undali upanga no.175 ambako kuna wataalam wa IT aliyosoma nao Bangalore India walioandaliwa kuchakachua matokeo. wana JF kwa yeyota anayewafahamu anaweza kuwaweka hadharani tuwajue...!
   
 2. K

  Kifoi JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: May 12, 2007
  Messages: 836
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Lewis Makame
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hao ma IT kwanza wana Age ipi?
  Wameangalia nao Alama za nyakati au ni njaaaa?
  Wanadiliki kuangamiza kizazi kijacho kwa akili zao kabisa?
  Hukumu yaja kwa wale wote wanao pinga mabadiliko yasitokeee kwani by 2015 lazima katiba itakuwa imebadilika sasa hapo ndipo waliotumia madaraka yao vibaya ndipo tutawakuta kiti cha pilato.

  What a Shame on IT FIELD in this Country
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  By professional is an IT guy? au LAWYER ? au yeye umemtaja as one among the destructive team ya hao ma IT
   
 5. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda kamuulize huyo Saidi Kubinua hao "wataalam wa IT" watabadilisha vipi matokeo? Au ndiyo mwisho wa uwezo wa "investigation reporter" wetu ndiyo umeishia hapo kwenye kuripoti tu kuwa kuna hao watu wanaoyarishwa "kuchakachua" matokeo?

  House of great thinkers indeed! :A S 13:
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  tUNAJUA WEWE UMESHIBAKWA NA MAFISADI TULIA UTAPATA MAJIBU
   
 7. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hoja za kilevi hizo! :tonguez:
   
 8. d

  dotto JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ... Hicho kitengo cha IT cha CCM chenye makao makuu upanga ni kwa ajili ya nini? Wameajiriwa na CCM. Wamepangishiwa pango na CCM?. Ni kikundi hatari ambacho kwa nchi huru Polisi wangewahoji kujua ofisi hiyo inamasilahi gani kwa taifa hili. Watu wasiozidi watano kupoteza mwelekeo wa Watanzania 19million kwenye matokeo ni hatari sana.

  Jen Shimbo hao ni akina nani, na wanafanya nini!!??. Hao ndio watakao leta vita na wanahatarisha amani ya taifa letu. Wasakwe na wakamatwe wote.

  Hongera sana Jen Shimbo kwa kuwa umeshatekeleza.:bolt:
   
Loading...