Kama ni mara yake ya kwanza ningekushauri asome kwanza microsoft package yaani angala ms word, ms excel, powerpoint na internet and e-mail, anaweza kumaliza ndani ya mwezi mmoja na nusu,kisha asome kozi ya ku-repair na kumainteni computer kwa miezi mitatu. Kwa kufanya hivyo ataweza ata kujiajiri. Kuhusu mahali pa kujifunzia jaribu kwenda kwenye chuo cha Veta Hapo mwanza kuulizia.