KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
mh! Mm najua kuna sehemu ya kujaza visa au master card.. Not tembo card!
Heshima kwenu wakuu,natumai mko poa
Niko hapa kuwaomba msaada wa maelekezo wataalamu na wajuzi wa masuala ya ipad za aple.Iko hivi nimeletewa ipad mpya ya Aple sasa kila nikitaka kuinstall apllication kutoka aple store inaniletea ku-sign up kwa ajili ya kuanza kudownload na kuinstall apllcation,ninaanza kujaza aple id kuna sehemu nafika inaniletea nijaze namba ya simu nikiingiza namba ya simu inakataa inasema nijaze namba zisizopungua tarakimu 20 sasa nikifika hapo nakwama kuendelea,sasa naombeni msaada wa jinsi gani nitakavyoweza kuinstall app kwenye hii ipad yangu.
[h=2]Wataalamu wa Ipad za Aple?????? usiseme hivi tena utaonekana wa kuja.... only apple ndio wanatengeneza i pad & other I OS[/h]

unaniAngusha, hata tembo zipo visa na mastercard, maana mi natumia tembocard visa kununulia vitu online
huwezi weka iyo password sababu ni kwa ajili ya atm tu, kadi yako kwa nyuma ina namba kwenye utepe hizo ndo unazitumiamkuu yangu hakuna sehemu ya NONE...inahtaji visa....na master nifanyaje ili nisiingize kadi yangu ya bank hapo???
2.kadi ya bank nikiingza inatik lakn kwenye security code nikiingiza namba za siri za atm inagoma...je hapo natakiwa kuingiza namba zipi????
ahsante
huwezi weka iyo password sababu ni kwa ajili ya atm tu, kadi yako kwa nyuma ina namba kwenye utepe hizo ndo unazitumia