1. First unatakiwa uwe umefikisha dollar 100.Nimepata barua yenye PIN za kufanyia account verification, na nimefanikiwa ku-verify account, sasa naomba kufahamu ni baada ya siku ngapi nitatumiwa hela ambazo zipo kwenye account yangu ya adsense,? pia njia ya malipo niliyochagua ni western union, je ni nini kitahitajika wakati wa kwenda kuchukua hayo malipo? lakini pia naomba kuuliza nikiasi gani ukitumiwa hutatakiwa kukichukua kwa mara moja?(yaani kinagawanywa na kutumwa kidogo kidogo?) maana nikimesikia kwamba kuna kiwango ukifikisha huruhusiwi kukichukua western union kwa mara moja.
Ahsanteni, natanguliza shukrani zangu.
Ahsante sana mkuu, kiukweli nimeridhika na jibu lako.1. First unatakiwa uwe umefikisha dollar 100.
2. Pesa huwa zinawekwa tarehe 21 ya kila mwezi kama umefikishwa dollar 100 kwenye finalized earning .ie pesa ya mwezi ukiopita sio mwezi uliopo...
3. kwa njia ya western union unatakiwa kwenda kwenye tawi la western union na kitambulisho tuu utapewa pesa yako kwa kujaza details kadhaa kwenye form maalum..
4. kwa western union unatakiwa kutoa dollar 2000 au pungufu.. kuna unaingiza zaidi tumia njia ya wire to bank..
mmkuu samahani,mimi adsens yangu inakataa kuonyesha satatement ya pesa iliyopo na pia now naona hainipi option ya kama nataka kuchukua pesa au lah,japo niliihold hadi mwezi wa sita mwaka huu,je inawezekana hapo kukawa na tataizo au ndio nihesabie maumivu?1. First unatakiwa uwe umefikisha dollar 100.
2. Pesa huwa zinawekwa tarehe 21 ya kila mwezi kama umefikishwa dollar 100 kwenye finalized earning .ie pesa ya mwezi ukiopita sio mwezi uliopo...
3. kwa njia ya western union unatakiwa kwenda kwenye tawi la western union na kitambulisho tuu utapewa pesa yako kwa kujaza details kadhaa kwenye form maalum..
4. kwa western union unatakiwa kutoa dollar 2000 au pungufu.. kama umeingiza balance zaidi tumia njia ya wire to bank ambayo unatakiwa uwe na account katika bank yoyote..
Uliza swali lako vizuri mkuu.mmkuu samahani,mimi adsens yangu inakataa kuonyesha satatement ya pesa iliyopo na pia now naona hainipi option ya kama nataka kuchukua pesa au lah,japo niliihold hadi mwezi wa sita mwaka huu,je inawezekana hapo kukawa na tataizo au ndio nihesabie maumivu?
NI HIVI adsens Account yangu inakataa kunionyesha option ya kutoa pesa ,sasa nashindwa kujua hapo tatizo ni nini?Uliza swali lako vizuri mkuu.
njoo PM upate msaadaNI HIVI adsens Account yangu inakataa kunionyesha option ya kutoa pesa ,sasa nashindwa kujua hapo tatizo ni nini?
kivipi mkuu.. je uki-login inaleta nini??? ingekua vyema ungepiga pichammkuu samahani,mimi adsens yangu inakataa kuonyesha satatement ya pesa iliyopo na pia now naona hainipi option ya kama nataka kuchukua pesa au lah,japo niliihold hadi mwezi wa sita mwaka huu,je inawezekana hapo kukawa na tataizo au ndio nihesabie maumivu?
hata mimi sikumuelewaUliza swali lako vizuri mkuu.
Option ya kutoa pesa? Ninavyojua Adsense ukishaseti njia ya malipo na kiasi ifikiapo watakutumia automaticNI HIVI adsens Account yangu inakataa kunionyesha option ya kutoa pesa ,sasa nashindwa kujua hapo tatizo ni nini?
<<====si mchezo===>>Habari wakuu tafadhali naomba templates kwa atakayeweza kunisaidia email ni newsglobe4@gnail.con
Nilikosea typing mkuu email no newsglobe4@gmail.com nawasilisha mkuu<<====si mchezo===>>