Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,543
Bado hujajieleza unaihitaji kitu gani sana sana umelezea kuhusu capacitor ku dischargeSalaam jf.
Nilikuwa nahitaji simple circuit kwa ajiri ya ku discharge capacitor na kupelekea led kuwa on kwa sekunde baada ya power kuwa off. Yaani pindi power itakapokuwa on capacitor iwe charged lakini led iwe off (yaani led iwashwe kutokana na ku discharge kwa capacitor na sio power source) na pindi power inapokuwa off capacitor idischarge na kuwasha led kwa sekunde na pindi capacitor itakapokuwa full discharged na led izime. Yaani sihitaji switch ya kimakenika.
Nilitaka kuweka simple security katika gari. Kama kuna uwezekano sio mbaya hata kwa kutumia IC sio mbaya.
Ngoja nijaribu ila naona kama maelezo madogo sana.jarib hii ila ni kwa non-polarized capacitors (like tantalum), resistor na iyo LED
let terminals za capacitors be C1 and C2
terminals za resistor be R1 and R2
terminals za LED be A(anode ) and K(cathode)
1.unga power source (dc) across iyo capacitor
ie: positive to C1 and negative to C2
2.Then connect ' K ' to C1, 'A' to R1 , 'R2' to C2
Apo utakua umefanikisha lengo lako
nb: value ya 'R' inabidi iwe ndogo kuongeza brightness ya LED
value ya 'C' inabidi iwe kubwa ili LED ing'are kwa mda mrefu pindi power source ikiwa out
Mfano mzuri ni hivi , kuna baadhi ya vifaa vya umeme mfano chaja ya simu yenye led, pindi unapozima led huchelewa kuzima, sasa mimi nahitaji mchoro ambao ukiwasha power led haiwaki lakini utakapo zima led iwake kidogo na kuzima kwa sekunde kama 2-6-7-...Kwanza unatakiwa uwe na power supply ambayo inatoa volt unazotaka ztoke. Kama itakua ni dc kwa power supply utatakiwa uwe na diode nne kwaajili ya kubadili umeme pia uwe na capacitor kwaajili ya kupunguza loop ya umeme.
Baada ya hapo unatakiwa uwe na capacitor nne (mbili ndogo na mbili kubwa) ambazo zitategemea na power supply yako ....pia unatakiwa uwe na transistor ambayo itaplay kama switch
Na mwisho kabisa unatakiwa uwe na diode(light diode ) ambayo itakua inatoa mwanga
Ili nikusaidie vizir nitajie volt unayoitaka ili nikupe fomula ya muunganiko wa hizo capacitor
nahitaji circuit ambayo pindi ukiwasha power katika circuit, LED yaani bulb isiwake na unapozima power, bulb yaani LED iwake kwa sekunde 4-5-6 au 7 hata 2 kisha izime papo hapo mpaka kitendo kingine kije.Bado hujajieleza unaihitaji kitu gani sana sana umelezea kuhusu capacitor ku discharge
Chaja unapoizima hiyo led inawaka kwa muda kwasababu kunakua na umeme ambao unakua bado kwenye circuit (capacitor)Mfano mzuri ni hivi , kuna baadhi ya vifaa vya umeme mfano chaja ya simu yenye led, pindi unapozima led huchelewa kuzima, sasa mimi nahitaji mchoro ambao ukiwasha power led haiwaki lakini utakapo zima led iwake kidogo na kuzima kwa sekunde kama 2-6-7-...
Kwaajili ya nininahitaji circuit ambayo pindi ukiwasha power katika circuit, LED yaani bulb isiwake na unapozima power, bulb yaani LED iwake kwa sekunde 4-5-6 au 7 hata 2 kisha izime papo hapo mpaka kitendo kingine kije.