Wataalamu wa computer.!

Wataalamu wa computer.!

mkuu weka suali lako sawa
au unamaanisha ni namna gani unaweza kufanya installation ya windwos kama ni hivyo kwanza inakubidi uwe na cd ya windows kama ni windows xp , windows vista, windows 7 au 8
 
Kama ni window 7 nirahisi kabisa kufanya installation fast wela cd yako ktk comp then zima au restart then angalia comp yako inaboot wap kama inaboot ktk hard disk itakubidi uende ktk setup then tafuta boot manu then angalia cd rom ipo wap kama ipo yapili iweke yakwanza then sev na zima comp yako then washa itakuletea ujumbe unaosema TO BOOT FROM CD PRESS ANYKEY then utapress itaanza kuboot ktk cd then itaran cd yako na kufunguka then utaingia ktk {install window 7}
 
Back
Top Bottom