Wataalamu wa Computer

Hapana mkuu ni zanzibar nachukulia zanzibar
 
Nenda sehemu ya ku search hapo kweye toolbar kisha andika haya maneno ndani ya mabano (DXDIAG) kisha search itakuletea software yenye jina hilo ifungue halafu chagua option imeandikwa ( render ) au video 2 kisha piga picha halafu utume hapa
Kama hivi mtaalam
 
Yeah ni latitude 7420 mkuu nacheck vipi hapo hayo mambo mengine maana nishatuma specifications za DXDIAG tayari hzo nyingine kuna sehemu tofauti na hii ya kuangalia.
 
Mkuu wewe jirisk tu, mimi nilinunu thinkpad x260 ikiwa ni generation 6 core i5. RAM 8 na SSD ya 256 kwa lak 3 tu na mpaka sasa inapiga kazi fresh, chaji masaa 8.
 
Mkuu wewe jirisk tu, mimi nilinunu thinkpad x260 ikiwa ni generation 6 core i5. RAM 8 na SSD ya 256 kwa lak 3 tu na mpaka sasa inapiga kazi fresh, chaji masaa 8.
Hii inakaa chaji haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…