Wataalamu wa computer nisaidieni tafadhali

Wataalamu wa computer nisaidieni tafadhali

integral sign

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
160
Reaction score
13
Computer yangu ina tatizo la ku stack. Watu wakasema ni virus. Nikashusha window... baada ya miez 2 ikazingua tena. Nikashusha tena. Ss iv ni miez kama mi3 iv inastack tena. Nifanyeje ili isifanye ivo? Nimeweka karibu aina zote za windows 7(proffessional,ultimate n.k) my computer properties ni memory 500gb,ram 2gb,1.6 processor na aina ni toshiba.
 
jamaa hiyo laptop inaweza kuwa ina Heat ndio maana ina stack, sababu za ku heat inaweza kuwa inavumbi kwahiyo hata fan inashindwa kuondoa joto linalozalishwa na Processor.solution tafuta fundi aifungue asafishe hilo vumbi aweka heatprocessor compound ktk processor ili kupunguza processor ku heat then machine itakuwa ok.
 
Kaka nimekuelewa mkuu. Shukran sana. Ngoja nimtafute fundi
 
ushauri wa haraka: Probable window yako ni kubwa kuliko processor yako, kama ni hivyo rudisha window iliyokuja na PC otherways usitumie Antivirus.
 
Computer yangu ina tatizo la ku stack. Watu wakasema ni virus. Nikashusha window... baada ya miez 2 ikazingua tena. Nikashusha tena. Ss iv ni miez kama mi3 iv inastack tena. Nifanyeje ili isifanye ivo? Nimeweka karibu aina zote za windows 7(proffessional,ultimate n.k) my computer properties ni memory 500gb,ram 2gb,1.6 processor na aina ni toshiba.

Hiyo hi hard disk mtu wangu. change hdd
 
ushauri tumia ubuntu 12.04 haitastack tena..

Hiyo ubuntu itakua ni sh. Ngapi kuweka? Nimepeleka kwa fundi kuisafisha na mafuta kaweka kwenye hiyo processor lkn nashangaa imestack tena. Tena inazingua hasa pale nikiconnect ktk wireless. Yaani nikigusa tu sehem ya wireless inastack
 
Back
Top Bottom