Singo Batan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 304
- 213
Wakuu Naomba Elimu juu ya Mambo yafuatayo:-
1. Uwekezaji kwa njia ya dijitali (digital investment) hususani katika masuala ya fedha mtandaoni (sijui kama nimepatia tafsiri) Bitcoin investment & Stock exchange
2. Je, ni uwekezaji wa kuaminika kwa Nchi kama yakwetu Tanzania?
3. Kama inaaminika, inaweza kuwa fursa kwa vijana kuwekeza mitaji yao pale wakielimishwa?
Nineona zinatangazwa sana, lakini sina ufahamu wa biashara hizi.
Naomba Msaada wa elimu toka kwenu[emoji1374]