wataalamu wa afya nahitaji msaada jamani

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,624
Reaction score
1,827
nasumbuliwa na ninapokula dagaa au samaki kibua mwili unawasha na kutoka vipele naembeni kujuzwa dawa gani inanifaa
 
Acha kula kabisa....ndio dawa .
nasumbuliwa na ninapokula dagaa au samaki kibua mwili unawasha na kutoka vipele naembeni kujuzwa dawa gani inanifaa
 
Mkuu pole sana kwa tatizo lako. Unaweza kujaribu antihistamine kwa mfano Diphenhydramine inaweza kusaidia.Unaweza kumeza kama saa moja kabla ya kula,inaweza saidia ingawa sidhani kama kuna tiba sahihi ya tatizo. Zingatia ushauri wa bbade. Pole sana kwa tatizo lako.
 
asante mkuu ngoja nijaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…