Wataalamu wa afya msaada tafadhari

tactitian

Member
Jan 10, 2019
15
5
Naomba kusaidiwa kuwa ni kwa nn ugonjwa wa maralia hauwekwi ktk list ya magonjwa ya kuambukiza km HIV?,au vp mtu akifanya mapenzi na mgonjwa wa maralia na michubuko kwa wote ikatokea si wale maralia parasite wataenda kwa mtu wa pili pia na kumuambukiza maralia? Au mtu kuongezewa damu yenye maralia parasite pia si inaweza sababisha maralia kwa anayewekewa damu pia?,msaada tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu uzi wameuchunia kama hawauoni,mm nipo hapa nasubir majib,mh hamis kigwangala tunasubir majibu tafadhali
 
Parasite/Protozoa Vs Virus

Model of transmission HIV/AIDS inajulikana kwa Mbu hubeba damu yake tumboni huko sehemu nimeisahau jina.

Lakini sijawahi sikia utapata Malaria au vimelea vya malaria bila kuvaa condom.

Ahsante kwa swali fikirishi.
 
Malaria ni ugonjwa unaoambukizwa kutoka kwa muhusika kwenda kwa mtu mwingine. Malaria husababishwa na protozoan anayeitwa plasmodium falisparum, malariae, ovale, vivax. Huku Tanzania ni plasmodium falisparum ambaye akiingia hutoa dalili baada ya siku kumi mpaka kumi na nne.
Yeye anahitaji vector yaan carrying organism ili aingie kwa mtu. Vector Huyo ni mbu jike anophelence through bite. Yeye hushambulia chembe nyekundu za damu. Mtu yyt ambaye ana upungufu wa damu na anahitaji kuongezewa damu na damu iliyopo ina vimelea vya malaria, damu hyo atapewa mgonjwa akiambatana na matibabu ya dawa za malaria. Wale plasmodium wakiingia ndani ya red blood cells hushambulia haemoglobin ambapo wakizimaliza ktk cell husika husambaaa baada ya cell kupasuka na kutafuta cell nyingine. Cell inapopasuka ndipo damu hupungua na joto hupanda juu. Kwa hyo blood contact inaambukiza malaria iwapo jeraha lako limekutana na mtu mwenye vimelea vingi vya malaria km mia mbili, mia tano ila muhimu damu zigusane. Mbu akimuuma mwenye vvu na akamuuma asiye na vvu hakutakuwa na maambukizi ya virusi Kwa sababu plasmodium hufuata red blood cells na cyo white blood cells. Hoply mmeelewa

Back
Top Bottom