wewe umejuaje kama huo uji umepewa kwa nia mbaya ?Mkuu kwanini?mjini hakuna kuaminiana kwenye mambo ya vyakula
Mbona huu uzi hauna udini?? Punguza unnecessary complications… huyu ana wasi wasi na alichopewa, humu Tz kuna kitu kinaitwa zongo.Ifike wakati ile maana ya 'home of great thinker'iondolewe ibaki tu kijiwe cha majobless yani mada zinazohusu kushambuliana kidini zimekua too much inaonesha hasa jinsi gani sisi makafiri tunawachukia wenzetu,hua namshangaa sana mtu anaemchukia mtu wa Imani tofauti na yake ilihali dini ni urithi tu kutoka kwa wazazi wako! the same aliezaliwa masai karithi umasai aliezaliwa na Christian karithi ukristo so chuki za nini hasa naona miezi ya jamaa wanapokua kwenye ibada zao za kubadilisha muda wa kula mada za kuwadiscuss zinazidi? Alafu nimegundua kitu nowdays hawana time na itikadi za zamani kubishana na system wamebailika kinoma wanapiga mambo yao kimya hawana sijui mihadhara vituo vya daladala sijui kwenye mabasi so chuki za nini juu yao?
wewe umejuaje kama huo uji umepewa kwa nia mbaya ?
mbona umewawazia majirani zako mabaya hivyo ? au kuna siku wameshawahi kukufanyia ubaya!
daah, wewe jamaa una roho mbaya aisee
Lengo la mleta uzi ni kuwachafua ndugu zetu Waislamu. Acha kutetea ujinga!Mbona huu uzi hauna udini?? Punguza unnecessary complications… huyu ana wasi wasi na alichopewa, humu Tz kuna kitu kinaitwa zongo.
Usiombe ukutane nayo.
Hizi nguvu peleka kwenye kuihudumia passo yako.Lengo la mleta uzi ni kuwachafua ndugu zetu Waislamu. Acha kutetea ujinga!
Basi tafta namna uflash tumbo sasa ili uwe na amaniNdio najua….Sasa kama nimeunywa kidogo na nikaenda kutapika vipi madhara yanaweza kuwepo?
Kwann umeelekea upande huo wa dini, kuliko kubaki na hisia za kawaida kama uchafu, kujipendekeza kulikopitiliza, ukorofi wa mwenyenyumba( akiwa mkalimu hivyo kuna kitu analenga), tabia za kishirikina.Ifike wakati ile maana ya 'home of great thinker'iondolewe ibaki tu kijiwe cha majobless yani mada zinazohusu kushambuliana kidini zimekua too much inaonesha hasa jinsi gani sisi makafiri tunawachukia wenzetu,hua namshangaa sana mtu anaemchukia mtu wa Imani tofauti na yake ilihali dini ni urithi tu kutoka kwa wazazi wako! the same aliezaliwa masai karithi umasai aliezaliwa na Christian karithi ukristo so chuki za nini hasa naona miezi ya jamaa wanapokua kwenye ibada zao za kubadilisha muda wa kula mada za kuwadiscuss zinazidi? Alafu nimegundua kitu nowdays hawana time na itikadi za zamani kubishana na system wamebailika kinoma wanapiga mambo yao kimya hawana sijui mihadhara vituo vya daladala sijui kwenye mabasi so chuki za nini juu yao?
halafu kumbe unaanzaga kula bila kusali mkuu.Ungesali kwa imani yako kabla ya kuanza kunywa uji,hata kama kuna kitu kibaya hakiwezi kukudhuru.Mkuu lengo la huu uzi sio kushambulia imani au kuleta chuki hapana…Context yangu ni kwa mtu yoyote hata kama sio mambo ya kufturu
Kutapika hakusaidii? Au kuna njia nyingine ya kuflash tumbo?
Kwanini unawaza kua waliokupa uji wana nia mbaya na wewe? Kwanini usiwaze kua umekaribishwa tu hasa huu mfungo wa ramadhani?Tatizo sio kupewa uji,tatizo ikiwa mtu anania mbaya na wewe anawezakutumua hiyo fursa kukudhulu
Yaani uchawi akuletee waziwazi hivyo ndio kwanza nakusikia wewe. Hiyo ni kawaida ya Waislam mwezi huu wa Ramadhani kuwa wakarimu ndio moja ya lengo la mwezi mtukufu. Na ndio maana hata kufuturu huwa wanafuturu nje ili mtu yeyote anaepita aweze kukaribishwa kufuturuWanajamii nahitaji msaada wenu kidogo…Mimi hapa ninapokaa kwa mbele kuna kanyumba ka uswahili sasa muda wa kufturu umefika nikaletewa uji,kuletewa nikaona aibu ikabidi nyinwe tu maana ningeonekana vipi kwa watu au labda na ringa…ule uji nimekunywa kama robo hivi kikombe,mwingine nimeingia home nikamwaga,na nikaenda chooni kutapika nikahakikisha uji wote umeisha…Swali langu,je kama mtu alikuwa na nia mbaya na mimi kupitia hicho kiwango kidogo cha uji anaweza nidhulu au nilivyojitapisha bado naweza dhulika? Wakuu nipeni muongozo,nakumbuka kwetu niliambiwa usipewe vitu vya kula kula hasa kwa watu usiowaamini
Nimeishi uswazi nimekunywa sana uji wenye ladha kama pilipili ambao tulikuwa tunaletewa na majirani zetu waislamu kipindi cha mfungo.......nafikiri ni sehemu ya ku share ukarimu unaotokana na hiyo ibada yao ya mfungo.