Nina uhakika haujaonana na daktari wa wanawake. Ushauri wa mitaani hautakusaidia sana. Nenda kaonane na gynae, utafanyiwa vipimo vya damu na kusaidiwa. Kuna dawa ukipewa inafanya kazi kama muujiza, ndani ya siku mbili damu inaisha. Lakini ni prescription drug, ni lazma uonwe na kuandikiwa.
Pole sana, msisahau kuomba Mungi ana nafasi yake.