TAECOLTD
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 1,051
- 1,831
Kuna kazi moja ya nje yaaan kidumu kinacholiwaza pindi mamsapu akifura... Mwezi uliopita nilikua nae ndani ila hatukufanya yaaan zilikua zile romance za hapa na pale na mengineyo hadi nguo akavua kabisa ila mie na nguo zangu ila katika yote mamsapu akapiga simu nikasepa.
Tatizo tangu hapo binti akawa anadai anajihisi vibaya yaaan anahisi ana mimba, nikamuuliza mbona hatujafanya? Akasema hata yeye hajui na hana mtu mwingine zaidi yangu. Nikamwitikia ila moyoni nikajua anataka kuniuzia mbuzi kwenye kiroba
Yaaan akifika hatua anatapika kabisa na akaanza kuchagua vyakula mixer kula udongo na mavitu machachu nikajua tayari wajanja wameweka ila nikauchuna
Akawa na dalili zote za mimba, nikampeleka hospital kupima wakasema hana mimba. Kafanyiwa vipimo vyote hana tatizo ila ana dalili zote za mtu mjamzito. Jana kaingia siku zake ina maana hana mimba, hili swala limeniacha njia panda inawezekana vipi mtu kua na dalili zote za ujauzito ilihali hana lolote?