Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 988
Mie si mtaalam sana wa mambo haya ngoja waje watabe.
Mkuu Nyasiro, Nashukuru kwa ushauri wako, kama nilivyokuambia mi siyo mtaalamu sana kama wewe, Ukiacha background ambayo naweza kuibadili dakika hii hii, kuna nini kingine?, karibu mkuu.
Habari zenyu wakuu,
Nimeidevelop website hii http://nellysinn.net kwa kutumia wordpress, mi siyo mtaalamu sana wa wordpress but nimejaribu. Naombeni ushauri wenu kama nimepatia na kama nimekosea ni wapi pa kurekebisha.
Natanguliza shukrani zangu.
huko chini kwenye attribute kuanzia kwenye po box haina maana ungeitoa tu uache hizo copyright tu..
Mi si mtaaramu wa wordpress ila nitakushauri generally katika website bila kujali imetengenzwa kwa kutumia nini.Naungana na aliyekwambia kuhusu background color ya blue,consider changing it,tafuta rangi ambayo si kali(epuka white,green,red,blue) tumia gradient color.
Kwenye page ya rooms and rate jaribu kuongeza size ya image pale chini.Pia upana wa footer haulingani na wa contents.Pia footer ina curved corner kama unaweza ondoa curved corner za juu bakiza za chini.Pia consider changing background color ya input field inaumiza macho pale wateja wanapojaza details zao,rangi ya input field inaumiza machtherwise good start.
huko chini kwenye attribute kuanzia kwenye po box haina maana ungeitoa tu uache hizo copyright tu..
ni ya kawaida sana. ki ukweli haivutii kwanza kabisa hiyo background ya buluu mimi sijaipenda. Background huwa inapendeza ikiwa katika mtindo wa gradient sio solid color. mfano angalia background ya humu Jamii Forums unaona ilivyo eeeh. kwa kua umesema ww sio mtaalam sana wa mambo hayo inabidi uchukue muda mwingi kujifunza kwa kuangalia kazi za wengine. yangu na hayo tu....
Inaelekea unapenda sana masifa, sasa kila mtu akiweka yake sijui itakuwaje. Lakini kwa kukutia MOYO, KWA KWELI UMEJITAHIDI, ni nzuri sana umewazidi hata walimu wako. Keep it up nitengenezee na mimi
Ni nzuri kwa appearance lakini sijajua kama functionality zipo owkey maana inahitaji muda kutafiti kama yaliyom yamo...ila kwa general appearance ina mvut mzuri sana
iko poa lakini kaka lakini we ukiwa ni mkristo hivi bar (pombe) yesu karuhusu. Nyinyi (wakristo) ni watu pia msijifanye kila maovu yesu karuhusu, kutembea uchi, kunywa pombe, kula nguruwe n.k kumbukeni kifo ndugu zangu.... hata hivyo website yako ni nzuri sana lakini tatizo la wengi ni functionalities kama alivyosema wangu hapo juu. Bongo website nyingi haziclickiki/hazinavigatiki na info/matangazo not up to date....nenda hapa uone madudu... University of Dar es Salaam - Tanzania - Home - .....
Habari zenyu wakuu,
Nimeidevelop website hii http://nellysinn.net kwa kutumia wordpress, mi siyo mtaalamu sana wa wordpress but nimejaribu. Naombeni ushauri wenu kama nimepatia na kama nimekosea ni wapi pa kurekebisha.
Natanguliza shukrani zangu.