Wataalamu friji na watumiaji

Wataalamu friji na watumiaji

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,106
Reaction score
357
Kwa wale wanaojua viuri friji nzuri kwa matumizi ya nyumbani naomba msaada hapa.
Nafikiria kununua deepfrezer za kufunua juu kuliko hizi za kawaida. Naomba kujua kama kuna faida yoyote nitaipata kwa hiyo niliyoisema.
Pia brand nzuri ni ipi, kwa mfano kuna BOSS,ZEC na zinginezo.
Nahitaji ile size ya kawaida tu kutokana na kipato.
Naomba msaada wenu wa mawazo.
 
Kwani upo wapi mkuu!! Maana kuna sehemu mie huwa nanunua applinces zangu za ndani almost zote. Mie ni mpenzi wa Samsung na almost kila kitu kwangu ni Sammy na hazina usumbufu.
So mie nakushauri Samsung ni nzuri kwa experience yangu na ukinitajia ulipo mie ntakuelekeza sehemu reliable na hata bei zao ni reasonable.
Ni hayo tu kwa sasa
 
Ahsante, nikiwa tayari nitakutafuta , nipo dar. Au hata kwa pm hapo unaweza ukaniwekea vitu vizuri
 
Back
Top Bottom