Mimi ni mjasiliamali kwa upande wa video shooting. Tatizo langu ni kwamba nime-edit video na baadae kui-burn. Sasa tatizo lake ni kwamba ina-freeze (kuganda), mteja wangu sasa kama vile kitanuka. Ndugu zangu hii kazi sasa ni kama miezi sita tangu nimeanza hivyo sijawa na utaalamu mkubwa. Hivyo naomba msaada wa jinsi gani naweza kufanya marekebisho katika movie hii,
nisaidieni jamani. Na sina shaka msaada jamvini ni kitu cha kawaida.
we sio mjasiliamali, kuokoa muda wa mteja chukua mzigo peleka kwa mtu anaefanya biashara sawa na wewe mlipe kidogo, mpe mteja mzigo kwa wakati, utakosa tenda next time, ndio maana mnazidiwa akili za biashara na wahindi.
inaganda kwa maana ya ku-stack wengine wanasema ku-freeze. ni kwamba tayari nimei-burn ktk DVD na ktk burning nilitumua internal. Shida ni kwamba rendering tayari nimefanya na ndo nika-burn, na sina hiyo copy ktk pc yangu, ndo maana nikauliza kama inawezekana hiyo dvd ya mteja kui-copy na kuifanyia matunduzi ili kuondoa matatizo hyo. nisaisieni jamani kama inawezekana.Inaganda kwa maana DVD inakwama kwama, au inaganda vp kijana, na je ikiwa kwenye time line kabla hujafanya out put inaganda au inaplay fresh na je umeburn internal au umetumia external?.........kufanya story fupi tengeneza file kwa kufanya rendering project yako kisha ufanye output kwa camera yani uingize kazi yako kwenye DV Tape uone.
we sio mjasiliamali, kuokoa muda wa mteja chukua mzigo peleka kwa mtu anaefanya biashara sawa na wewe mlipe kidogo, mpe mteja mzigo kwa wakati, utakosa tenda next time, ndio maana mnazidiwa akili za biashara na wahindi.
alafu yeye ajifunzelini? Ujinga ni mzigo
bro he asked for help not insults!!
there is no insults here unless you are buffoon
we Mbwa, there you go, you did it again!! Can't you just comment without insulting words in there?
dah, now you're calling me a pile of Sh*t for tryn 2 correct you!! Its okay though, I've dealt with People like you before, they usually have a troubled child hood, abused, insulted, bullied and stuff like that and judging from your username the past events have been fused in your subconscious, which explains why its the first thing which popped up in your mind as the ID(if i were to conduct a Rorschach test on you, i would confirm this), as a result you say things 2 downgrade people and make your self feel better sort of in control of the situation. I do feel pity for you mate that's ol i can say.!!!
my apology brother.