GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 162
Baada ya mvua kubwa kuunguruma juzi jijini dar, kibanda changu nilichoozeka bati ya "msouth" kina vuja sana, (nafikiri mafundi walifanya mchezo mchafu kujifunzia kwenye paa langu wakati wa kuezeka).
kibanda changu nimeezeka lakini bado sijakipiga dari, hivyo naomba wajuvi wa mambo ya ujenzi mnishauri nitumie material gani kuweka kwenye dari walau hata likiangukiwa na maji kwa ndani lisiharibike kwa haraka walau miaka 5 wakati najipanga kubadilisha paa kwasababu hata likizibwa bado kuna baadhi ya sehemu chache zitavuja.