Naomba msaada wenu. Mimi simu yangu ni NOKIA 6151, na tatizo ni kwamba "Switch" yake ya kuwashia iliharibiwa na kutofanyakazi kabisa. Sasa Wataalam na Mafundi mliobobea katika maswala ya simu, Je naweza kupata "Switch" nyingine ili simu yangu iendelee kufanya kazi? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wenu wa Kitaalam na Kiufundi.