Wataalam wa simu msaada plz.

Wataalam wa simu msaada plz.

emoshi

Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
28
Reaction score
1
Eti hii imekaaje? Juzi nime flush 4n yangu sasa hvi nikidownlod application yeyote kama opera mini haifanyi kazi kabisa. Kwa mwenye ujuzi anisaidie plz. Thankx
 
Mbona hata hutaji model ya simu.. Au hujui simu hazifanani..?
 
Yani niki downlod application yoyote haifunguki kabisa kama vle hamna conection na 4n kabisa
 
Kaa kwa Muda wa saa 12 au hata siku moja, kisha download OperaMini.
 
Back
Top Bottom