wataalam wa simu msaada please

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
Nina rafiki yangu aliifunga simu yake kwa pattern sasa wakati wakuifungua sijui alichora pattern mara nyingi badae ikabidi ikajifunga kabisa akatakiwa aingize email yake na password wakati pass ameshazisahau je kuna ujanja wa haraka au ni mpaka akaflash
 
Mwambie atoe laini na memory,then a hold volume up,power and calling button kwa wakati mmoja,then aendelee na maelekezo atakayopewa
 
Mwambie atoe laini na memory,then a hold volume up,power and calling button kwa wakati mmoja,then aendelee na maelekezo atakayopewa

simu ni sreeen tuoch android je inawezekana hapo kwenye calling button
 
simu ni sreeen tuoch android je inawezekana hapo kwenye calling button

hiyo simu inatakiwa kufanyiwa hard reset, button combination za kureset zinatofautiana kulingana na aina yasimu,unatakiwa useme ni simu aina gani ili uweze kusaidiwa.
 
hiyo simu inatakiwa kufanyiwa hard reset, button combination za kureset zinatofautiana kulingana na aina yasimu,unatakiwa useme ni simu aina gani ili uweze kusaidiwa.

anadai inaitwa HT three
 
anadai inaitwa HT three

ht au htc?!!
jaribu hivi:
-zima kabisa simu.
-shikilia kitufe cha kupunguzia sauti (volume down)
-ukiwa bado umeshikilia volume up, bonyeza kitufe cha kuwashia
-simu itadisplay information flani, achia button zote
-tumia volume down kuchagua "FACTORY RESET", kisha bonyeza power kukubali
subiri kidogo simu yako itafuta kila kitu na itawaka ikiwa "mpya"
 

asante yeye anadai ni ht3
 
Km amezisahau hiyo ndio njia nzuri
Lkn ujue kila ki2 kitafutika
 
It can be unlocked but ht3 sijui ni simu gani... Also what version of android does it have? Kuna packages on XDA za kuremove pattern lock and all that ila u must be very clear about phone details so that u don't brick it.
 
simu nimeiona huyo rafiki yangu alikuwa ameniambia ni ht3 lakini ni VINUS model ni v8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…