Wataalam wa pc pita hapa tushauriane

Wataalam wa pc pita hapa tushauriane

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,127
Reaction score
11,938
Kuna ajali imetokea hapa wakuu, sasa nataka kujua kama CASE za spare zinapatikana, na bei zake pia ikijumuisha na utengenezaji.. Kwa mwenye uelewa wa hili anisahie info.

Regards.
IMG-20180809-WA0026.jpg
IMG-20180809-WA0027.jpg
 
Back
Top Bottom