Wanajf, nisaidieni!!
Hivi ikitokea katikati ya mchezo, iwe ni football, netball, basketball etc mchezaji au mwamuzi (referee akabanwa na haja (iwe ni haja kubwa au haja ndogo)... Je, anaweza kuomba ruhusa ili atoke nje ya uwanja (pitch) kwa ajili ya kujisitiri?
Na kama ni mwamuzi, je anaweza kusimamisha mpira ili aweze kwenda kujisitiri?