Boss, wenzio wanaongea na wauza ving'amuzi ili mteja akija anaelezwa kuwa fundi yupo na gharama yake ni hii. Pia ukimpata mteja mmoja unamfanya awe rafiki, , yaani muda wote unamuulizia mwenendo wa kazi ulioifanya kama inatatizo ukamrekebishie.
Hii itapelekea mteja kukutaftia wateja wengine (akiulizwa kama anamfaham fundi yeyote muaminufu basi ww itakua ni pendekezo la kwanza)
Ukipata muda pitia hata mitandaon namna ya kujitangaza ufundi wako.